Isaiah 10:20-22

Mabaki Ya Israeli

20 aKatika siku ile, mabaki ya Israeli,
walionusurika wa nyumba ya Yakobo,
hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga,
lakini watamtegemea kwa kweli
Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli.
21 bMabaki watarudi,
Kiebrania ni Shear-Yashubu, pia 22.
mabaki wa Yakobo
watamrudia Mungu Mwenye Nguvu.
22 dIngawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani,
ni mabaki yao tu watakaorudi.
Maangamizi yamekwisha amriwa,
ni mengi tena ni haki.
Copyright information for SwhNEN